Taarifa ya Habari 29 Aprili 2025

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili

Bango la taarifa ya habari la SBS Kiswahili Source: SBS / SBS Swahili

Waziri Mkuu Anthony Albanese ana fanya kampeni katika eneo bunge la chama cha Greens la Griffith, chama cha Labor kikiwa na matumaini yakushinda eneo bunge hilo la ndani ya Brisbane.


Kiongozi wa New South Wales amesema serikali yake imechukua hatua zaku shughulikia ongezeko ya visa vya unyanyasaji wakijinsia ndani ya jumuiya, katika jibu la kifo cha mwanamke wa miaka 19 katika mwezi wa Machi.

Polisi Tanzania wameizingira nyumba ya Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani, Chadema, Tundu Lissu na Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, wakati shauri la kupinga kusikilizwa kwa kesi ya Lissu kwa njia ya mtandao. Wakati hayo yakijiri kesi hiyo imeendelea kwa njia ya mtandao huku wanahabari wakizuiwa.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share