Jinsi yakuanza biashara yako ndogo Australia

Australian Federal budget 2022

Source: SBS

Kuanza biashara nchini Australia hutoa faida kadhaa. Australia husaidia uvumbuzi na ujasiriamali kupitia miundombinu imara, nguvu kazi yenye ujuzi na mipango ya serikali inayo himiza ukuaji wa biashara ndogo kwa ruzuku, fedha na motisha za kodi.


Uchumi mzuri wa Australia pamoja na mazingira mazuri ya biashara, hutoa hali yakipekee kwa wajasiriamali.

Kuanza biashara ndogo hapa kuna weza ridhisha sana, iwapo una wazo lakipekee au motisha yaku ligeuza kuwa biashara yenye faida.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share