Shirika la Scanlon Foundation lapewa tuzo katika sherehe ya kila mwaka ya tuzo za uhamiaji

Pema Dolkar from SBS Tibetan accepts her award for Journalism excellence

Pema Dolkar from SBS Tibetan accepts her award for Journalism excellence Source: SBS

Mwanaume aliye anzisha shirika la Scanlon Foundation kwa ajili yakukuza mshikamano wakijamii, ni mmoja kati ya walio tuzwa katika sherehe ya tuzo ya kila mwaka, ya uhamiaji na makazi.


Washindi wa tuzo walitangazwa katika sherehe ya tuzo hizo, ndani ya bunge la taifa mjini Canberra wiki hii.

Mtangazaji wa SBS Pema Dolkar, alipewa tuzo kwa mafanikio yake katika utangazaji, kupitia makala aliyo fanya kuhusu mradi, wakujifunza kuogelea wa jamii yawa Tibet.

SBS ilizindua idhaa yakitibet mwaka jana, katika tendo laki pekee nchini Australia.


Share