Emmanuel Musoni ni mwenyekiti wa shirika la GLAPD International, alifanya utafiti naku tengeza kifaa hicho, ambacho kitatumiwa na jamii za kandani na vijijni, pamoja na mashirika yanayo toa misaada kwa wahamiaji na wakimbizi kurahisisha mchakato wauhamisho wa wahamiaji na wakimbizi katika maeneo yakikanda na vijijini.
Je wahamiaji na wakimbizi wanahisi wanakaribishwa katika miji yakikanda?

Msanii kutoka Burundi Foi na rafiki zake kutoka Albury-Wodonga Source: MK
Kifaa kipya kime undwa kwa ajili yakusaidia kuwavutia wafanyakazi ambao ni wahamiaji katika maeneo ya kikanda.
Share