ATAR ni nini, na ni kwa nini ni mhimu?

Wanafunzi wafanya vipimo ndani ya maabara shuleni

Wanafunzi wafanya vipimo ndani ya maabara shuleni Source: Getty

Nambari ya usajili katika elimu ya juu Australia maarufu kwa ufupi kama ATAR, huwa na sehemu mhimu kwa wanafunzi wa sekondari wanao panga kufanya elimu ya juu.


Ni kipimo cha mafanikio kwa ujumla yakisomi ya mwanafunzi, kinacho onesha nafasi yao kulinganisha na wanafunzi wengine wa umri wao, ambayo ina amua ni mwanafunzi yupi atakaye pewa nafasi chuoni.

Ili kujua kama uwasilishi wa maombi ya ATAR umefunguliwa na jinsi mchakato wa ujumuishi uta tumika kwako, zungumza na kituo cha usajili cha chuo katika jimbo lako, au tazama tovuti yao.


Share