Australia inakaribia kutimiza miaka 120, ila uraia wa Australia ni dhana mpya

Max Mumbi kutoka Zambia apigwa picha na rafiki zake baada yakupta uraia wa Australia

Max Mumbi kutoka Zambia apigwa picha na rafiki zake baada yakupta uraia wa Australia Source: AAP

Australia imekuwa nchi huru kwa zaidi ya miaka 118, ila uraia nchini humu ni dhana mpya sana.


Tunapo karibia maadhimisho ya miaka 70 ya sherehe za uraia zitakazo kuwa tarehe 26 Januari, tufanye tathmini jinsi na kwanini dhana hiyo ili wasilishwa.


Share