Australia Yafafanuliwa: Jinsi yakupiga kura katika uchaguzi wa shirikisho

Posters explaining how to vote are seen outside a polling booth in Brisbane, Saturday, July 2, 2016. About 15 million Australians will cast their vote in today's federal election. (AAP Image/Dan Peled) NO ARCHIVING

Posters explaining how to vote are seen outside a polling booth. Source: AAP / AAP Image/Dan Peled

Wa Australia milioni kumi na nane wame sajiliwa kupiga kura katika uchaguzi wa shirikisho mwezi ujao.


Nchini Australia, tume huru husimamia mfumo wa uchaguzi. Tume ya Uchaguzi ya Australia, hu hakikisha kuwa raia wanao stahiki wana fursa yaku Saidia kuunda serikali yetu ya shirikisho.

Katika makala haya ya Australia ya Fafanuliwa, tuta tazama jinsi yaku piga kura katika uchaguzi wa shirikisho ujao.

Siku ya uchaguzi tume ya uchaguzi ya Australia, au AEC kwa ufupi, hupokea wapiga kura milioni moja katika vituo vyake vyakupiga kura kila saa.

Unaweza pata taarifa zaidi kuhusu jinsi yakupiga kura kwenye tovuti ya AEC aec.gov.au au kwa kupiga simu kwa namba hii 13 23 26.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share