Wanawake kwa wanaume walishiri katika michuano hiyo, na Bw Brian ndiye aliyeshinda kwa upande wa wanaume.
Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, aliweka wazi atakavyo tumia wadhifa wake mpya wa Mr Kokwet 2023.
Bonyeza hapo kuu kwa mahojiano kamili.