Shinikizo hilo limefikia kiwango cha baadhi ya raia wa DRC, kuukumbuka na kutamani awamu ya rais mstaafu Joseph Kabila.
Katika mazungumzo maalum na mchambuzi wa maswala yakisiasa ya Afrika Mashariki Bw Omari, kuhusu matukio ya hivi karibuni ya jimbo la Kivu Kaskazini ambako kundi la waasi la M23, lime chukua udhibiti wa mji wa Goma kutoka serikali naku tishia kuandamana hadi mji mkuu wa Kinshasa.
Bw Omari ali eleza SBS Swahili kuwa, "watu wana anza sema wakati wa Kabila ulikuwa afadhali kuliko sasa"
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.