Canberra: tathmini ya wiki hii 21 Septemba 2018

Bendera ya Australia ya pepea juu ya bunge la taifa

Bendera ya Australia ya pepea juu ya bunge la taifa Source: AAP

Uwekezaji wa shule, walezi kutoka ulaya pamoja na matunda aina ya strawberries, wiki hii ilijawa mitafaruko katika siasa ya taifa.


Mvutano wa muda mrefu kuhusu uwekezaji wa shule zaki katoliki na shule huru ulimalizika wiki hii, baada ya serikali ya Morrison kutanga uwekezaji wama bilioni ya dola katika sekta hiyo.

Naye waziri wa maswala ya ndani aliponea chupu chupu katika kura yakutokuwa na imani katika uongozi wake.

Licha ya hayo yote, sekta ya matunda ya straberry nchini, ina endelea kuwa katika hali mbaya.

 


Share