Canberra: Tathmini ya wiki hii 22Juni2018

Kikao cha nyumba ya wawakilishi ndani ya bunge la taifa mjini Canberra, Australia

Kikao cha nyumba ya wawakilishi ndani ya bunge la taifa mjini Canberra, Australia Source: AAP

Wiki hii, serikali ya shirikisho ili pata ushindi mkubwa kisiasa, ambao huenda ni ushindi mkubwa zaidi kwa waziri mkuu Malcolm Turnbull tokea alipo halalisha ndoa za wapenzi wa jinsia moja.


Kila kitu kikiwa sawa kwa serikali ya mseto, karibu kila mtu ata pata makato ya kodi katika muda wa miaka saba, kwa sababu serikali ilipitisha sera yake ya bajeti wiki hii.

Na hayo ndiyo yaliyo jiri wiki hii katika siasa ya taifa mjini Canberra, Australia.

 


Share