Canberra: Tathmini ya wiki hii 29 Juni 2018

Waziri Mkuu Malcolm Turnbull, aondoka bungeni baada ya muda wa maswali na majibu Source: AAP
Serikali ya taifa ime maliza kikao cha mwisho cha bunge, kabla ya mapumziko ya majira ya baridi, licha yakuto wasilisha muswada muhimu wa kodi.
Share