Canberra: tathmini ya wiki hii 6 Julai 2018

Vita vya maneno vya zuka kati ya seneta Sarah Hanson-Young na David Leyonhjelm bungeni

Vita vya maneno vya zuka kati ya seneta Sarah Hanson-Young na David Leyonhjelm bungeni Source: AAP

Wiki hii wanasiasa wa taifa walizingirwa kwa madai ya ukandamizaji dhidi ya wanawake na wanaume, wakati madai kati ya maseneta wawili yali endelea kutawala vichwa vya habari.


Serikali ya shirikisho nayo ilipigwa jeki kidogo katika matokeo ya kura ya maoni, pamoja na hatua nyingine yaku ingilia kati ya umma toka kwa waziri mkuu wa zamani Tony Abbott.

 

 


Share