Hiyo ilikuwa sehemu moja tu ya wiki iliyo jawa misongo yaki siasa hata wakati bunge halikuwa katika kikao.
Na hiyo ndiyo tathmini ya matukio yaki siasa wiki hii nchini Australia, tuta waletea tathmini nyingine ya matukio yakisiasa nchini Australia wasaa kama huu, wiki ijayo.