Canberra: tathmini ya wiki 9 Novemba 2018

Bendera ya Australia ya pepea juu ya bunge la taifa

Bendera ya Australia ya pepea juu ya bunge la taifa Source: AAP

Wiki hii Malcolm Turnbull alizungumza hadharani kwa mara ya kwanza tangu alipo ondolewa mamlakani kama waziri mkuu wa taifa mwezi, akisema kwamba bado hajui kwanini alivuliwa wadhifa wake.


Mrithi wa wadhifa wake ni Scott Morrison, naye anakabiliwa kwa mtihani waku elezea uamuzi wa mbinu zake za usafiri.



 


Share