Tahadhari ya shauriwa katika mjadala wa uhamiaji, kabla ya chaguzi ndogo za Jumamosi 28Julai2018

Saturday 28 July by-elections.

Five by-elections will take place on Saturday 28 July. Source: SBS News

Vikundi vya biashara na wahamiaji vime himiza tahadhari wakati vyama viwili vikubwa nchini, vime ongeza shinikizo katika mjadala wa uhamiaji chaguzi ndogo za 'Super Saturday' zinapo karibia.


Kwa upande mmoja serikali ya mseto imesema vigezo vyake vikali vime punguza idadi ya wahamaiji wakudumu, wakati huo huo chama cha Labor kime walaumu wafanyakazi wa viza za mpito kwaku ongeza viwango vya uhaba wa ajira.

 

 


Share