Kwa wastan, mu Australia mmoja hufa kila dakika 12 kwa sababu ya ugonjwa wa moyo. Inapokuja kwa swala la mishtuko ya moyo, mu Australia mmoja hufa karibu kila saa moja.
Je! Unajua jinsi yakutambua dalili za mshtuko wa moyo, na chakufanya inapo tokea? Uwezekano wakupata mshtuko wa moyo ni mdogo sana, kama una ishi maisha ya afya nzuri. Ila ikitokea kwako au mtu wa karibu yako, kumbuka dalili na chukua hatua haraka.
Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti ya The Heart Foundation, anwani yao ni: https://www.heartfoundation.org.au/