Davi"tunataka badilisha muonekano kuwa lazima uwe mkonde,mwembamba na mrefu ili uwe mwanamitindo"

Bango la mashindano ya wanamitindo la Maridadi Group.jpg

Shirika la Maridadi Group, lime andaa tamasha maalum ambako wana mitindo wakike na wakiume watawania taji la Bi na Bw Kenya, Australia, 2023 mjini Melbourne, Victoria.


Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, Mkurugenzi wa Maridadi Group Bw Davi, alifunguka kuhusu motisha yakuanzisha tamasha hiyo, malengo yake pamoja na matarajio ya muda mfupi na muda mrefu ya shirika lake.

Kwa taarifa zaidi kuhusu tamasha za Maridadi Group tembelea:

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.



Share