Mchezo huo ambao huandaliwa katika miji mbali mbali duniani kila mwaka, hutoa fursa kwa wafanyabiashara wa kila aina kujumuika na wateja wao.
Kuelewa zaidi jinsi wafanya biashara wata athirika kupitia Kenya kushushwa daraja kutoka mchezo wakimataifa wa raga ya wachezaji saba, SBS Swahili ilizungumza na mmiliki wa kampuni ya burudani Big Minds Empire ambayo hufanya biashara yakuwaleta wasanii nchini kwa tamasha wakati wa michezo ya raga.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa zaidi.