Djay Daffy "ziara ya Australia imenipa fursa nyingi sana"

Dejay Daffy ndani ya studio za SBS Swahili

Djay Daffy ni mmoja wa wasanii ambao wame teka nakutawala sekta ya burudani nchini Kenya.


Djay Daffy amejitengenezea nafasi yakipekee katika sekta ya burudani nchini Kenya, hatua ambayo ime mupa fursa yakuanza kusafiri kufanya kazi nje ya Kenya.

Alipo tembelea SBS Swahili alipokuwa katika ziara yake nchini Australia hivi karibuni, alifunguka kuhusu fursa ambazo sanaa ime mpa pamoja na mipango yake yakurudi Australia kuendeleza kazi ambayo ame anza.

Bofya hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share