Dkt Damacent afunguka kuhusu umuhimu wakuwafanya vipimo vya tezi dume

Traditional prostate cancer tests

Traditional prostate cancer tests Source: Getty

Wanaume mara nyingi hujipata katika hali tata kiafya kwa sababu ya kuchelewa kuchukua hatua zinazo faa kupata huduma.


Wengi hao husibiri hadi hali yao inapokuwa mbaya zaidi, kabla ya kumwona daktari.

Dkt Damacent ni daktari wa binadam nchini Australia, katika mazungumzo maalum na SBS Swahili alifunguka kuhusu umuhimu wa wanaume kutilia maanani afya yao haswa ugonjwa wa tezi dume unako husika.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share