Dr Benedict "COVID-19 imeleta umasikini nakuvunja familia"

Dr Benedict, akiwa nje ya chuo chake cha Western Sydney

Dr Benedict, akiwa nje ya chuo chake cha Western Sydney Source: SBS Swahili

Australia hupokea makumi yamaelfu yawanafunzi wakimataifa kila mwaka, kutoka duniani kote.


Dkt Benedict ni mzawa wa Tanzania nani daktari wa binadam, na kama wanafunzi wengine wakimataifa alikuwa akiendelea na shughuli zake za elimu yajuu nchini Australia, janga la COVID-19 lilipo lipuka nchini Australia.

Katika mazungumzo maalum na Idhaa ya Kiswahili ya SBS, Dr Benedict alifafanua jinsi COVID-19 ime muathiri pamoja na wanafunzi wenza wakimataifa.


Share