Mwenyekiti wa shirika hilo Bw Ezra Cheruiyot, alieleza SBS Swahili lengo na madhumuni yakuandaa hafla hiyo.
Kwa taarifa zaidi kuhusu shirika la Kitwek na huduma wanazo toa, bonyeza hapo chini.
Mwenyekiti wa jumuia ya Kitwek ya Perth, Magharibi Australia, Ezra Cheruiyot azungumza na wanachama.
SBS World News