Ingawa wauzaji wengi halali wa mtandaoni hukusanya data zawatumiaji, walaghai nao wanachukua fursa ya ongezeko ya biashara ya mtandaoni, kuwalenga wa Australia ambao wako katika mazingira magumu.
Ingawa si lazima kuwasiliana na polisi, wakati mwingine kufanya hivyo kunaweza saidia, haswa kama mlaghai yuko nchini Australia.