Wimbi hilo la wasi wasi limejiri baada ya matokeo mabaya katika uchaguzi kwa chama cha Liberal jimboni Victoria, nakuzua maswali jinsi miezi sita ijayo itakavyo kuwa katika kampeni ya shirikisho.
Ushindi wa chama cha Labor jimboni Victoria, watikisa wanachama wa Liberal wa shirikisho

Prime Minister Scott Morrison during Question Time in the House of Representatives at Parliament House in Canberra. Source: AAP
Wanachama wa Liberal washirikisho wame anza fikiria iwapo wanahitaji, badili jinsi wanavyo fanya kampeni, uchaguzi mkuu wa taifa unapo karibia.
Share