Geofrey "mengi yaliyo jadiliwa katika mkutano huu yametufungua mawazo sana sisi wanafunzi"

Baadhi ya wadau walio zungumza na SBS Swahili baada ya mkutano wa jumuiya yao.jpg

Jumuiya ya wakenya wanao ishi mjini Sydney, NSW walikuwa na mkutano ulio toa fursa kwa wanachama wa jumuiya hiyo kuzungumza nama wakala wa uhamiaji pamoja na wataalam wengine.


Waziri wa maswala yakigeni wa Kenya Dr Alfred Mutua, alikuwa miongoni mwa wageni walio zungumza kwenye mkutano huo.

Punde baada ya mkutano huo SBS Swahili ilizungumza na baadhi ya wadau walio jumuika katika mkutano huo, ambapo walifunguka kuhusu baadhi ya kero zao pamoja na kutoa pendekezo kadhaa.

Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share