Bw Germain ni mmoja wa wagombea hao, anawania ubunge kupitia chamacha UNC cha Mh Vitale Kamerhe.
Licha yakuwa na maisha yakistaarab nchini Australia, Bw Germain ame amua kurudi kutoa huduma kwa jamuia yake. Alitueleza kwa urefu na upana kuhusu motisha yakuacha kazi na shughuli zake nchini Australia, kwa ajili yakuwania ubunge katika uchaguzi mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.