Serikali ya futa viza zamamia yawahalifu walio hukumiwa

Serikali imewafukuza nchini idadi yawatu mianane ambao si raia baada yakufuta viza zia

Serikali imewafukuza nchini idadi yawatu mianane ambao si raia baada yakufuta viza zia Source: AAP

Viza za idadi ya wahalifu zaidi ya takriban mia nane zilifutwa nchini Australia mwaka jana wa 2018, asilimia 12 kati ya wenye viza hizo wakiwa wamehusika katika unyanyasaji wakingono dhidi ya watoto au unyanyasaji wa watoto.


Viza za watu hao zilifutwa chini ya sheria zenye masharti, yaku futa viza za wahalifu ambao si raia wa Australia, ambao wame pewa hukumu ya miezi kumi na mbili au zaidi gerezani.


Share