Serikali yafuta kipunguzo cha ada ya ombi la uraia kwa wastaafu

Waziri wa maswala ya nyumbani wa Australia Peter Dutton

Waziri wa maswala ya nyumbani wa Australia Peter Dutton akiwa katika mkutano. Source: AAP

Serikali ya Turnbull imesitisha msaada ulio wapa ma penshena wenye matatizo ya fedha afueni wanapo omba uraia wa Australia.


Sheria hizo mpya zita anza kutumiwa Julia mosi ila, kuna hatua ambazo zime chukuliwa tayari kusitisha mageuzi hayo bungeni.

Katika siku za nyuma seneti ili zuia majaribio ya serikali kugeuzi mtihani wa uraia ambao serikali ilijaribu fanya, na hivi karibuni seneti ili futa majaribio yaku ongeza masharti ya mapato kwaku fadhili viza ya wazazi.


Share