Serikali ya regeza masharti ya viza kwa wafanyakazi wakigeni katika sekta ya kilimo

wafanyakazi wa msimu katika kiwanda cha matunda Source: AAP
Serikali ya shirikisho imesema itaregeza masharti, kwa wafanyakazi wa kigeni wanaofanya kazi mashambani, ikiwa ni sehemu muhimu ya kumaliza tatizo la uhaba wa wafanyakazi hao.
Share