Makumi yama elfu yawa hamiaji wanaweza poteza viza zao, chini ya pendekezo ya sheria zaku kaza mitihani ya tabia.
Mageuzi yaliyo wasilishwa bungeni mwezi jana, yanatarajiwa kuwa na athari isiyokuwa na kipimo kwa watu kutoka New Zealand wanao ishi Australia, hali ambayo itaongeza mgawanyiko kati ya nchi hizo mbili hususan katika swala la kufukuza watu nchini.