Haki za watoto Australia

Dr de Toca says becoming a citizen of First Nations people meant more than Australian citizenship.

Dr de Toca says becoming a citizen of First Nations people meant more than Australian citizenship. Source: Getty Images/Don Arnold

Mkataba wa Umoja wa Mataifa kwa haki za mtoto, ni makubaliano yakimataifa kwa haki za binadam yanayo julikana pia kama mkataba wa haki za binadam, unao elezea haki maalum ambazo watoto na vijana wanaweza dai.


Karibu kila nchi duniani Australia ikijumuishwa, imetia saini mkataba huo nakuufanya uwe mkataba wa haki za binadam unao ungwa mkono zaidi.

Makala haya ya mwongozo wa makazi yana elezea haki ambazo watoto wanazo nchini Australia na, jinsi haki hizo zime lindwa na sheria za Australia.

Baadhi ya haki ambazo zimo ndani ya mkataba wa haki za mtoto zinajumuisha, haki yakuwa salama, haki yakucheza, haki yakupata elimu na haki yakuwa na afya nzuri.


Share