Happiness: "Ninafuraha tele kuwa raia mpya"

Cheti cha uraia na pasi ya Australia

Cheti cha uraia na pasi ya Australia Source: SBS

Sherehe nyingi muhimu huadhimishwa katika siku kuu ya Australia tarehe 26 Januari kila mwaka.


Moja ya sherehe hizo muhimu ni sherehe za uraia, ambazo huandaliwa nakusimamiwa na halmashauri za jiji kote nchini.

Bw Happiness alikuwa miongoni mwa walio shiriki katika sherehe yakupewa uraia wa Australia mwaka huu, alieleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS kuhusu mchakato wakuwasilisha ombi la uraia hadi hatua yakula kiapo.

Bofya hapo juu kwa taarifa kamili.


Share