Bw Thomas K Boor alikuwa mgeni wa heshima katika mkutano huo, alichangia uzoefu wake pamoja nakutoa ushauri kwa wanaume walio hudhuria mkutano huo.

Kwa upande wake, Bw Hezron Baranga, alisisitiza umuhimu wakuwa na mazoea ya kujuliana hali mara kwa mara, hasa kwa wanajumuia wanao ishi peke yao.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.