Viongozi wa jumuiya ya Kokwet wali wa andalia wanachama wao hafla maalum, ambako walichangia vyakula, walifanya maonesho ya mitindo nakumaliza sherehe kwa miziki ya asili yao.
Katika mazungumzo na SBS Swahili, mwenyekiti wa Kokwet Bw Hezron, alifunguka kuhusu jinsi uongozi wa Kokwet huwa hudumia wanachama wake pamoja na miradi mingine ya shirika hilo.