Isaac Kisimba "JFSS inawapa watu wetu huduma zinazo stahili"

Bw Kisimba, Mkurugenzi Mtendaji wa Joining Families Support Services.jpg

Idadi ya watu kutoka jamii zenye asili ya Afrika Mashariki na Kati , inaendelea kuongezeka nchini kila mwaka kulingana na takwimu za serikali.


Ongezeko hilo la watu lina maana kwamba, wana hitaji huduma maalum zinazo kidhi mahitaji yao. Ni hali iliyo weka pengo katika sekta inayo toa huduma kwa jamii zawa hamiaji na wakimbizi nchini.

Bw Isaac Kisimba ni Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Joining Families Support Services. Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, Bw Kisimba alifunguka alivyo chukua hatua zaku ziba pengo hilo la huduma kwa jamii hizo.

Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.

Share