Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusu mgogoro unaokaribia kutokea.
Bw Jaguar na Bw Omari ni raia wa Australia wenye asili ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC). Katika mazungumzo kuhusu hali ya usalama katika nchi yao ya asili, walifunguka kuhusu chanzo cha ukosefu wa usalama pamoja na changamoto zingine zinazo ikumba nchi yao.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.