Jamii ya wakenya waomboleza kifo cha ghafla cha Lydia Cheptoo

Lydia Cheptoo Cherunya.jpg

Kifo cha ghafla cha Lydia Cheptoo kimezua majonzi na simanzi, katika jumuiya ya wakenya nchini Australia.


Dkt Wesley Koros ndiye Mwenyekiti wa Kamati inayo andaa ibada, na safari yakumpeleka mwendazake kupumzishwa nchini Kenya.

Katika mazungumzo na SBS Swahili Dkt Koros alitueleza kilicho sababisha kifo cha Bi Lydia pamoja na hatua ambazo kamati yake imechukua kushughulikia swala lakumpeleka nyumbani mwendazake.

Kwa taarifa kamili kuhusu jinsi unaweza toa mchango wako, kupiga jeki juhudi zakumrejesha Lydia nyumbani bonyeza hapa chini:
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.

Share