Licha ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya IEBC Bw Wafula Chebukati, kumtangaza Dr William Ruto kuwa mshindi wa urais kinara wa mrengo wa Azimio One Kenya, Raila Odinga amekataa kutambua tangazo hilo nakumshutumu Bw Chebukati kwa kuto tenda haki.
Ungana na mwandishi wetu Jason Nyakundi, ambaye amezungumza na wachambuzi wa maswala yakisiasa ya Kenya katika makala haya.