Je! mfumo wa urekebishaji wa watu wazima hutumikaje Australia?

Mfungwa avaa sare za kijani akiwa na pingu mkononi

Mfungwa avaa sare za kijani akiwa na pingu mkononi. Source: AAP Image/David Gray

Nchini Australia, watuwazima wanao fanya makosa ya jinai, husimamiwa na mfumo wa haki wa jinai wa Australia.


Neno kituo cha marekebisho huoelezea sehemu ambako mtu hutumikia kifungo chake, wanapo patwa na hatia ya uhalifu wa jinai.

Gereza ni aina mbaya zaidi ya kituo cha marekebisho, situ kwa wale ambao wame fungwa ila pia, kwa familia zinazo achwa nyuma.

Mfululizo mpya wa makala ya SBS, yanaonesha chenye hutokea wakati watu wanapo achiwa huru kutoka gerezani, huwa wanapewa makazi katika nyumba zenye utulivu kwa muda wa siku 100. Unaweza tazama makala ya ‘Life On The Outside’ kwenye tovuti ya SBS on Demand.


Share