Ibada ya rais mstaafu hayati Mwai Kibaki, ilipokuwa ikiendelea mjini Nairobi, wakenya wanao ishi Australia walikuwa waki ifuatilia kwa karibu nakutafakari maisha yalivyo kuwa chini ya uongozi wa rais huyo wa tatu wa Kenya.
Familia ya Bw Birgen ilichangia maoni yao kuhusu jinsi hali ya maisha ilivyokuwa nchini Kenya, chini ya uongozi wa hayati Mwai Kibaki.