Na kwa mara ya kwanza, maandishi, video, picha na sauti inayo tengezwa kwa akili bandia inayo julikana pia kama AI, vita husika pakubwa katika kampeni zaki siasa.
Tunastahili tazama demokrasia kubwa zaidi duniani kama India na Marekani, kuona jinsi taarifa potufu zilizo undwa kupitia AI, zilivyo tumiwa katika chaguzi za mwaka jana.
Kwa taarifa zaidi, tembelea sbs.com.au/sbsexamines.