Hivi karibuni serikali ilitangaza baadhi ya hatua zakuregeza vizuizi kwa watu wenye viza za wanafunzi, baada yakuregezwa kwa mipaka kwa ajili yakurahisisha mchakato wakurejea kwa wanafunzi wakimataifa nchini Australia.
Wasafiri wote wanastahili tii masharti katika jimbo au wilaya wanamo wasili, na jimbo au wilaya nyingine ambako wanapanga kusafiri.