Kulingana na mamlaka ya chakula ya New South Wales, mzio wa chakula kwa sasa hu athiri mtoto mmoja kati ya watoto kumi, na takriban watu wazima wawili kati ya watu wazima 100 nchini Australia.
Kuwatuma watoto wenye mizio pamoja na anaphylaxis shuleni, kuna weza zua wasiwasi kwa wazazi wengi haswa wale ambao ni wageni nchini Australia, na huenda hawana uelewa wa mifumo na miongozo iliyopo.
Kuwatuma watoto wenye mzio shuleni kuna weza zua wasiwasi kwa wazazi, ila kuwa na mawasiliano fanisi situ na mtoto wako ila pia, na shule inaweza kuwa mhimu kutoa elimu na uelewa wa mzio.