Jinsi unaweza anzisha biashara ndogo Australia

Mwanaume amhudumia mteja

Mwanaume amhudumia mteja Source: Getty Images/Thomas Barwick

Kuanzisha biashara ndogo ni hatua yakusisimua ila, ni hatua ambayo huja na changamoto nyingi.


Katika makala haya tuta tazama jinsi unaweza fanya mchakato huo kuwa rahisi, na wakufurahisha zaidi.

Kwa taarifa zaidi tembelea tovuti hizi:

https://asic.gov.au/    https://business.gov.au/    https://www.asbfeo.gov.au/ 


Share