Na ni hatua gani wana stahili chukua kama unyanyasaji huo unafanyika mtandaoni?
Kusaidia kujibu maswali haya, tume waomba wataalam katika elimu, saikolojia na unyanyasaji wa mtandaoni majibu kwa ushauri na maarifa ya hivi karibuni.
Tabia ya unyanyasaji huja katika umbo tofauti na viwango vya madhara. Bila kujali hali, wataalam wamesema haistahili chukuliwa kirahisi.
Jisajili au fuata makala yaliyo rekodiwa ya Australia yafafanuliwa kwa taarifa muhimu na, vidokezo kuhusu kuanza maisha yako mapya nchini Australia.