Katika makala haya ya SBS Australia ya Fafanuliwa, tuta tazama aina ya malipo ya likizo ya wazazi yanayo patikana, nani anastahiki na jinsi yaku dai malipo hayo.
Wakati unatarajia kujifungua ni wakati maalum unao sisimua ila, inaweza leta pia shinikizo lakifedha.
Malipo ya likizo ya uzazi kutoka serikali ya Australia na waajiri, yanaweza saidia kupunguza mzigo huu naku waruhusu wazazi wapokee malipo wakati wanabaki nyumbani waki walea watoto wao.
Jisajili au fuata makala yaliyo rekodiwa ya Australia ya fafanuliwa, kwa taarifa muhimu na vidokezo kuhusu kuanza maisha yako mapya nchini Australia.
Je una swali lolote kuhusu au pendekezo ya mada? Tutumie barua pepe kwa: [email protected]