Jinsi ya kuandaa ombi la kazi

Digital Content Producer

Credit: Pic: public domain

Unapo ona tangazo la kazi linalo kuvutia, kuelewa hatua zinazo fuata ni muhimu.


Kuandika ombi la kazi kunaweza tisha ila, kuelewa matarajio ya mwajiri kutapiga jeki fursa zako zakupata kazi hiyo.

Kuomba kazi kunaweza chukua muda na nishati, haswa unapo anza kazi nchini Australia.

Waajiri wengi hu hitaji ushahidi kwa maandishi wa historia yako ya kazi, ujuzi na hiyo ni kabla ualikwe kwa mahojiano.


Share