Kuna rasilimali nyingi zaku kusaidia kujisajili kupiga kura, nakuwa na usemi wako wakuunda nchi yetu.
Uchaguzi wa shirikisho ni fursa yakuwa na usemi wako kwakupiga kura kuchagua serikali ya Australia. Zoezi hilo hufanyika takriban kila miaka tatu. Hatakama ni lazima kupiga kura kwa wa Australia wengi, lazima utazame kwanza ustahiki wako.