Jinsi yakumsaidia mtoto wako kuhifadhi lugha na tamaduni aki kuwia nchini Australia

Msichana atabasamu akibeba vitabu juu ya kichwa ndani ya maktaba.

Msichana atabasamu akibeba vitabu juu ya kichwa ndani ya maktaba. Source: Digital Vision

Faida za elimu ya lugha mbili zime andikwa vyema.


Ila uzoefu unaonesha kuwa, kuifanya iambatane na mahitaji ya mtoto wako ndiyo njia pekee yakufanya itumike kwa ajili ya kukuza utambulisho wa tamaduni.

Data ya sensa imeonesha kuwa theluthi tano ya nyumba zote nchini Australia, huzungumza lugha nyingine isiyo Kiingereza.

Na wakati mzazi yeyote anaye walea watoto wanao zungumza lugha mbili, anajua kuwa elimu ya lugha inaweza kuwa jukumu kubwa, hata hivyo utafiti unaonesha kuwa juhudi hiyo inafaa.


Share